Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
1207 - Henry III, Mfalme wa Uingereza azaliwa
Sisi wazima kabisa mdau Obe, msalimie mpendwa wako najua tu kwenye huo uzinduzi hawezi kukosekanashululu na Tumosa nawasalimia na kuwashukuru kwa magazeti yaliyodhaminiwa na Mndali ndanyelakakomu
Jumapili Njema Makapuku wote, mimi ndo nimerudi nyumbani, nilikuwa kwenye utambulisho wa chupa sita aka six pack
Asante mama mchungaji, nawe ubarikiwe sanaNeno*
Wakolosai 4:6
*6 Maneno yenu yawe na neema siku zote, yakikolea munyu, mpate kujua jinsi iwapasavyo kumjibu kila mtu.*
*Tuombe*
Neema na Upendo wa MUNGU Baba, ukawe kwa kila mmoja wetu, na tukiendelea kumtukuza MUNGU wetu, sasa na hata milele, ulinzi wa mwili na roho tunakabidhi kwako MUNGU wetu uliye hai, kupitia kwake Yesu Kristo, Bwana na Mwokozi wetu , hallelujah
*Amina*
SIKU NJEMA MBARIKIWE SANA![]()
Habari za chupa sita, pamoja sana mpendwa wa ObeNawe pia na asante kwa magazeti
284K, hongera sanaTarehe 1 Oktoba ni siku ya 274 ya mwaka (ya 275 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 91.
HBD Jimmy Carter1924 - Jimmy Carter, Rais wa Marekani (1977-1981) azaliwa
Asante husobe1404- papa Boniface Xi afariki
Mwisho
Husobe
Sisi wazima kabisa mdau Obe, msalimie mpendwa wako najua tu kwenye huo uzinduzi hawezi kukosekana

Hbd to himHBD Jimmy Carter