Makapuku Forum

Makapuku Forum

Neno*

Wakolosai 4:6

*6 Maneno yenu yawe na neema siku zote, yakikolea munyu, mpate kujua jinsi iwapasavyo kumjibu kila mtu.*

*Tuombe*

Neema na Upendo wa MUNGU Baba, ukawe kwa kila mmoja wetu, na tukiendelea kumtukuza MUNGU wetu, sasa na hata milele, ulinzi wa mwili na roho tunakabidhi kwako MUNGU wetu uliye hai, kupitia kwake Yesu Kristo, Bwana na Mwokozi wetu , hallelujah

*Amina*

SIKU NJEMA MBARIKIWE SANA

Habari za uzima BH! Asante sana kwa neno la asubuhi hii. Ninaimani hujambo
 
Neno*

Wakolosai 4:6

*6 Maneno yenu yawe na neema siku zote, yakikolea munyu, mpate kujua jinsi iwapasavyo kumjibu kila mtu.*

*Tuombe*

Neema na Upendo wa MUNGU Baba, ukawe kwa kila mmoja wetu, na tukiendelea kumtukuza MUNGU wetu, sasa na hata milele, ulinzi wa mwili na roho tunakabidhi kwako MUNGU wetu uliye hai, kupitia kwake Yesu Kristo, Bwana na Mwokozi wetu , hallelujah

*Amina*

SIKU NJEMA MBARIKIWE SANA
Ameen
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom