Morning too my love, twende kanisaniMorning my love[emoji120] [emoji120]
Hatujambo binamu,kwani na ww una chupa sitashululu na Tumosa nawasalimia na kuwashukuru kwa magazeti yaliyodhaminiwa na Mndali ndanyelakakomu
Jumapili Njema Makapuku wote, mimi ndo nimerudi nyumbani, nilikuwa kwenye utambulisho wa chupa sita aka six pack
Hatujambo binamu,kwani na ww una chupa sita
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]View attachment 599539Jumapili njema makapuku wote
Sawa mpenzMorning too my love, twende kanisani
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hongera binamu kwa kuwa na sixpack,....yeah, ninazo tena hizo sita sita nimezinunua nyingi kishenzi, zilikuwa zinauzwa nusu bei
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hongera binamu kwa kuwa na sixpack,
hebu tukasali kwanza
Amina mama mchuchu.[emoji524]Neno*
Wakolosai 4:6
*6 Maneno yenu yawe na neema siku zote, yakikolea munyu, mpate kujua jinsi iwapasavyo kumjibu kila mtu.*
*Tuombe*
Neema na Upendo wa MUNGU Baba, ukawe kwa kila mmoja wetu, na tukiendelea kumtukuza MUNGU wetu, sasa na hata milele, ulinzi wa mwili na roho tunakabidhi kwako MUNGU wetu uliye hai, kupitia kwake Yesu Kristo, Bwana na Mwokozi wetu , hallelujah
*Amina*
SIKU NJEMA MBARIKIWE SANA[emoji7][emoji7]