Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Kwani mbeya kuna tukuyu tuSi kasema mby fm?
Kwani mbeya kuna tukuyu tuSi kasema mby fm?
NdioUna maana mimi ni mzee feki?
Naona we ndo unataka kuchocheaVita vya nini... Tuko kwenye juhudi ya amani sio vita.
Kwani vp kijana.... Halafu nyie vijana mkoje ....yaani mnatisha wazee.We mzee jiangalie
Ha ha ha ha ha ha.... Hio ndio nembo ya mbeya... Kwa sababu ndio timu pekee iliyowahi kuwa tishio na kuchukua ubingwa WA soka TzKwani mbeya kuna tukuyu tu
Hapana..... Kumbuka huu uzi uko kwenye chit chatNaona we ndo unataka kuchochea
Ameacha kutumbuaBasi niripoti kwa Magu anitumbue![]()
Nalijua hilo mkuu ndo maana unaniona niko huruHapana..... Kumbuka huu uzi uko kwenye chit chat
Miaka hiyo saizi tunaita zilipendwaHa ha ha ha ha ha.... Hio ndio nembo ya mbeya... Kwa sababu ndio timu pekee iliyowahi kuwa tishio na kuchukua ubingwa WA soka Tz
Tuko pamojaNalijua hilo mkuu ndo maana unaniona niko huru
Rekodi yao haijavunjwa... Japo zilipendwa.Miaka hiyo saizi tunaita zilipendwa
Halafu ujue mimi mzee kweli sio fakeMiaka hiyo saizi tunaita zilipendwa



Sawa mzeeRekodi yao haijavunjwa... Japo zilipendwa.
Usajili wako wa ujukuu umekwama brela... Unaonekana una matatizo flani... I suggest you check with brela for clarification![]()

Unakimbilia wapi? Sae au Uhindini?Sawa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
UtingapasyaPo kanunu gundumile isamaki
Uwe na amani babuHaya maswali sio ya shemeji mjukuu wangu... Lakini mimi sikutilii mashaka..... Ila huyo kaka hmmm