Baby baby ndio mambo za kapuku ukinuna kwa miwivu utakufwa haraka uache wenzio waendelee kuitana baby maisha mbona simple sana ambavyo havikuhusu achana navyo jaman
Kweli mke mwee magazeti yapo leo kwenye historia ipooo uf ipooo muziki upooo sala zipooo yaan mambo ni yale yale hakuna kilichobadirika kabisa
AbeeeeMy love T
Mkuu shikamoo
Woooooyoooo viwango vimepanda eeeeehNdo vileeee bongo movie yetu imeendelea shemela ujue tupo Hollywood
Mbona umefuta neno la mwanzoni hapo mkuu...ondoa kelele za shikamoo hapa, leo ijumaa namsikiliza jamaa anaimba wimbo wa 'Mapenzi yananivunja mgongo'
Usiniambie mke mwee kwani binamu sio mkuuHapana we unamwita Obe mkuu ili apaliwe na barukutu
Na kweli mke mwee kila mtu apambane na hali yake yaan kiufupi jikune tu unapowezaatuache na mababy zetu apambane na hali yke
Mbona umefuta neno la mwanzoni hapo mkuu
Binamu ujue umeanza vizuriiiiii yaani vizuri sana ila umekuja kumalizia mwisho hivi binamu unanitaka ninii jaman ndio mana nimemzui baba d kuingia jf na sikupi hata makofi ya kukupongeza kwa ulichokiharibu mwishoni...ujue nini, kind annoying kila 'mkongwe' akiingia humu anakuja na songi kama za Liverpool ooh KF ilikuwa moto blah blah blah.
Wapo wakongwe wa kweli humu wakiondoka wakirudi wanarudi na vitu vya kuboresha na sio histohisia. Heshima kwako shululu kwa kuendelea kuboresha KF.
KF sio mtu au watu ni 'taasisi' well, waliopumzika au kuondoka hawajaondoka na KF ikarudi chini isipokuwa sasa ndo iko juu hadi zinaanzishwa thread kuelezea hatari ya kuiacha iwe na nguvu.
Unataka magazeti Ibrahim Msuya , hujaona UF, BBC, educative quotes, muziki, sports, nukuu za kiimani, sogozi na kubebishana, hadithi, falsafa and FYI kwa kuwa KF ina kila kitu wasomaji ni wengi hata takwimu zinagoma kupatikana.
Ngoja niendelee kukata Safari baridi hapa nimsikize Mccain anayejisifu kukamatwa mateka wakati waliokamatwa na kuwatoroka watekaji hawapigi ngenga.
Hebu muangalie mjomba wangu, alitekwa na wahamiaji haramu, baadaye akatekwa na Cheusi Mangala, bado akatekwa na Eva, kisha teller wa benki lakini kote anakotekwa anatoroka na kurudi kwa shangazi yangu ninayempenda sana na haya hayamuumizi moyo
Usiniambie mke mwee kwani binamu sio mkuu
...ondoa kelele za shikamoo hapa, leo ijumaa namsikiliza jamaa anaimba wimbo wa 'Mapenzi yananivunja mgongo'
Mbona umefuta neno la mwanzoni hapo mkuu
...sijalifuta, kwani mwanzo kulikuwa na neno?
Hivi mnanitafuta niseme leo Ijumaa hamjui niko under influence ya hii kitu yenye alcohol?
Mie ndio nimejisikia kukuita hivyo...nakuangalia tu, makubaliano yetu ni kuwa Ijumaa ni siku huru, hatujuani wala hatufahamiani maana niko kwenye masuala ya msingi leo
akii binamu nimejisikia kukupa shikamoo na kukuita mkuu