Makapuku Forum

Kama kuna mwalimu anisaidie, mwenyewe nimesoma memkwa....

Najua majina ya watu huanza na herufi kubwa.... Ni bora ukosee langu kuliko la mume wangu
Nilijua tu mahaba yanakupeleka kasi.. haya basi sawa nimekuelewa, usije ukanipa kelebu bure maana mapenz yana nguvu kuliko winchi..[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…