Hivi we Unajua ipiWivu upi dyadya me nimeuliza sauti yako si ninaijua
Mama JJ, Asante kwa chakula laazizi wanguBaba wawili
...kuna zile Geisha bonge bonge, na pia siku wanagtengeneza vipotabo Geisha mkononi vinajaa
![]()
Nimesikia ndugu yangu.. wacha nicheke kimoyo moyo tu..maka unasikia huku
Sie ndugu lazima tuelewane tuume nimekuelewa ujue umeongea kiutu uzima dyadya
SawaHaya tusamehe basi ndio ulichokuwa unakitaka
Avatar yako mbayaMama JJ, Asante kwa chakula laazizi wangu
Asante kushukuru,karibu jukwaaniMama JJ, Asante kwa chakula laazizi wangu
Naona hiv vitu si mchezo, unantamanisha..Hapana kaka
Usiku mwema na kwenu piaUsiku mwema makapuku wote
Ngoja tukapumzike na mama JJ wangu
Mwenyewe
Mh....kuna Eva, huyu ni mlaini na ananukia uturi mujarab
![]()
Karibu chamaniNaona hiv vitu si mchezo, unantamanisha..
Si mbaya, neno samahan n ahsante ni madogo sana ila thamani yake ni kubwa.. kama mumeo alikosea ni vizur kuomba msamaha kwa niaba yake. Hivyo ndivyo tunavyopaswa kuishi, kukubali kosa na kuomba radhi inaonesha jinsi gani hujapendezwa na ulichotenda..Haya tusamehe basi ndio ulichokuwa unakitaka
Teh.. teh.. maana umetutoa kwenye mambo ya ranging mara paaaaap sepenga.Hahahahaaaaa!
Hiyo inaitwa mara paaaaaaap
Usitamani mkuu..ni dhambiNaona hiv vitu si mchezo, unantamanisha..