Makapuku Forum

Makapuku Forum

Babe maneno yawakosaji hayo yapuuzie
Wee unaita yawakosaj sasa mie nilichokikosa ni nin.. mie nampulizia akuchukue jumla we unajishingondoa.. aheri hata uchukuliwe reja reja utaishia kukopwa kabisa.. hutujui vidume vya siku hizi, wao kwichi kwichi tu, mapenz hata kwa wazaz wetu tunayapata..

Haya turudi kwenye kauli ya wakosaji.. nilichokikosa mie nin wee mtoto wa kike, hiv ningehitaji ungechomoka kweli..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom