Makapuku Forum

Makapuku Forum

1945 - Bela Bartok, mtunzi wa muziki Mhungaria alifariki
4241_111947916532.jpg
 
Leo nikutie moyo kidogo kuchagua wokovu umechagua fungu jema

Lakini kuna changamoto ktk wokovu LAKINI hizo changamoto usiogope Bwana yu pamoja nawe
MATENDO 6:8-15
Huyu ni Stephano aliyejaa imani akapigwa mawe lakini yy hakuangalia mawe alimuangaliya Yesu wakamsingizia kua huyu anakufulu lakini yy hakuangalia kusingiziwa kwake alimuuangalia Yesu walikusudia kumuua lakini yy hakuogopa kufa alimuangalia aliye muita
Leo hii yawezekana na ww wanakutupia mawe ktk huduma yako wamekusemea mabaya juu ya huduma yako hayo ndio mawe wamekusingizia mengi wamekudhihaki wamekutukana wamekukejeli nia yao tuu wakuue kiroho waue huduma yako
Waue wokovu wako hawapendi unamtumikia Mungu wamekulushia mwe ya magonjwa Leo hii nikuambie usiogope ww mwangaliye aliye kuita aliyemwaga damu yake msalabani kwa ajili yako mwangaliye aliye na sehemu ya kukupeleka usikate tamaa usiumize kichwa kwa ajili ya maajenti wa shetani wanaharibu ndoa yako sikiliza shida yao sio ndoa yako shida yao ni huduma yako LAKINI jioni hii nikuambie neno moja tu usiogope yupo yy awezaya kupiga maadui zako huyo ndie unaepaswa kumwangalia huyo ndie msaada wako hao achana nao

Ktk
YEREMIA 1:19 anasema watashinda nawe hawatakushinda maana yupo pamoja nawe akuokoe unaogopa NINI sasa
Eti unakata tamaa kwa ajili ya watu kwa ajili ya mashetani kwa ajili ya ndoa yako hao ndio daraja lako LA kukupandisha viwango hadi viwango hao ndio mtaji wako hao ndio mafanikio yako hao ndio ushindi wako Yesu amesema hawatakushinda maana yupo pamoja nawe ili akuokoe usihuzunike yupo awezea kufungua milango yako iliyo fungwa ktk maisha yako kutokuelewa kwako kuna watu wanapigana usiku kucha ili usiolewe wala usioe wakisikia umeanguka ndio fulaha kwao unaposonga mbele kwao ni chuki wanapenda uwe hapo ulipo LAKINI nimalizie kwa kusema ukimtumainia Bwana watafedheheka wao ww utasonga mbele
Mbarikiwe sana na ujumbe huu muwe na asubuhi iliyo njema kwenu
Amen, Asante kwa neno la uzima shemasi
 
Asante husna muba aka Husobe kwa historia.

Uwepo wetu Makapuku wote unaifanya sub-forum hii hapa JF kuwa nzuri na ya kuvutia.

Tuwe na wakati mzuri.

Ngoja nisake mkate nitarudi tena, si mnajua hapa story tu


Yeah hapa ni story tu kula kwako mzeiya na hata ukibahatika kula hapa basi ujue utakula kwa macho tu na sio kwa mdomo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom