Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Asante mama mchungaji, nawe pia[emoji524]Nguvu za mwili zinapatikana kwenye chakula cha mwilini (ugali, chapati, makande,nyama choma ,mahindi,juice nk) na nguvu za rohoni zinapatikana kwenye Neno la Mungu ,maombi pamoja na kufunga.
MBARIKIWE SANA WAPENDWA MCHANA MWEMA[emoji120][emoji120]
Mama WengerNimewamiss mnoooo
My loveAmeni [emoji120] [emoji120] [emoji120] barikiwa pia
Hatareeeeeeee...Huhuhuuu kaz imeanza
Weee shindwaaaEeeh...
Moneytalk msambaa?
Ndio jibu hilo sasa?Weee shindwaaa
Hahahahah jirani nawe hufai unataka toboa siri hadharani jamani mweeeeNimekumiss jirani..
Ila sio kwa utapeli ule..?
Nambie wanguuuuuuuMama Wenger
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio jibu hilo sasa?
Jibu sahihi ni kuniambia wewe ni kabila gani ( Though hii sentensi imekaa kibaguzi sana)
Si utapeli wa sheikh amri abied..?Hahahahah jirani nawe hufai unataka toboa siri hadharani jamani mweeee
Nakupenda kuliko moneytlkWhaooo hunnie i love u too much
Wewe Ongeapesa..![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dawa yao imeshawaingiaNimeshawajibu darln labda uongezee tu
Ninafuraha jamanWewe Ongeapesa..!
Yaani unacheka hadi hizo emoji zimekuchoka sasa...[emoji3]
nakupenda pia babe, ila usiwe unaniacha muda mrefu mwenyewe wananionea hukuNakupenda kuliko moneytlk
I love you Hunie..Mmmmh
Ngoja utekwe..[emoji41]nakupenda pia babe, ila usiwe unaniacha muda mrefu mwenyewe wananionea huku