Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
HahahaAfanywaje..? Taja lile neno lako hebu ?
Nimeambiwa niwe mtaratibu.
Yaani wewe
HahahaAfanywaje..? Taja lile neno lako hebu ?
Nimeambiwa niwe mtaratibu.
Hahahaaa! Naleta Red bull..
Unapenda mambo ya ku...l...a....n....a

Itakuwa hivyoSijui leo wamekunywa balimi
Sigusi hiyo makitu tena bhana.We acha tuu, leo mie na angalia tu
UmeonaeeItakuwa hivyo
Makitu ganiii loveSigusi hiyo makitu tena bhana.
Wewe kimbia tuu...


Shunie amelalaHahahaa....
Shunie taja basi...![]()
Naona moneytalk amekupigia simu..iSee siamini kama watu mnataka kunivunjia ndoa yangu tarajiwa. Acheni unaa bhs, niko nawaona mjuwe..!!



Haaaaahaaaa tetramelyz hiyo speed si mchezoiSee siamini kama watu mnataka kunivunjia ndoa yangu tarajiwa. Acheni unaa bhs, niko nawaona mjuwe..!!
Sawa bwanaWewe kimbia tuu...
Ila si unajua nikikudakia hata jikoni ...pouwa tuu![]()
Makitu ganiii love