iSee siamini kama watu mnataka kunivunjia ndoa yangu tarajiwa. Acheni unaa bhs, niko nawaona mjuwe..!!
una mwanya??
Uko vizurI will always Love, Care, Cherish and Adore you......
I love you more than the bad days ahead of us, I love you more than any fight we will ever have.... Ninakupenda zaidi kuliko umbali kati yetu, ......nakupenda zaidi kuliko kikwazo chochote ambacho kinaweza kujaribu na kuja kati yetu............ Ninakupenda sana moneytalk
Weka na kisukuma mkuu...I will always Love, Care, Cherish and Adore you......
I love you more than the bad days ahead of us, I love you more than any fight we will ever have.... Ninakupenda zaidi kuliko umbali kati yetu, ......nakupenda zaidi kuliko kikwazo chochote ambacho kinaweza kujaribu na kuja kati yetu............ Ninakupenda sana moneytalk

Naona naonaaa....mondray yeye ataita shemejii kwa ubwege wake ....Mdgo wako mondray yuko wapi?
Unaona vitu hivyo?
Watu usiku mmoja tuu wamechukua chomboNaona naonaaa....mondray yeye ataita shemejii kwa ubwege wake ....
Kama juz anamsifia binti humu eti amaita jina lake vizur

sasa hivi kipo honeymoon.Hahahaha, binadamu sio wema kabisaNaona moneytalk amekupigia simu..
Ni ajeee mkuu
Naona wote mmeenda kulala..Shunie amelala

Teh teh teh, kawaida shululu,Haaaaahaaaa tetramelyz hiyo speed si mchezo
Muulize moneytalk kwanini amenikubali![]()
![]()
una mwanya??
Jana na leo siku mbili kasoro masaaMmependana usku ishakua kila siku ..m.![]()
![]()
![]()
Hahahaha,Ngoja pendo likolee vizur vizur kwanzaWeka na kisukuma mkuu...![]()
Acha wakulaneeWatu usiku mmoja tuu wamechukua chombosasa hivi kipo honeymoon.
Aisee...! Watu nouma kweli.
Nguvu za mwili zinapatikana kwenye chakula cha mwilini (ugali, chapati, makande,nyama choma ,mahindi,juice nk) na nguvu za rohoni zinapatikana kwenye Neno la Mungu ,maombi pamoja na kufunga. 

Mama mchuchu shikamooNguvu za mwili zinapatikana kwenye chakula cha mwilini (ugali, chapati, makande,nyama choma ,mahindi,juice nk) na nguvu za rohoni zinapatikana kwenye Neno la Mungu ,maombi pamoja na kufunga.
MBARIKIWE SANA WAPENDWA MCHANA MWEMA![]()
Huhuhuuu kaz imeanzaI will always Love, Care, Cherish and Adore you......