Makapuku Forum

Kaka sema neno kwa Aggy, wew ni mwanaume, onyesha ukomavu wako kiakili na uvumilivu, aggy naye aliumia kumbe, tena anaumwa kama wewe, sahau yalopita. Mwenzio anaomba msameheane yaishe kaka, sema neno kwake. Nakuheshimu usiniangushe
Mie sina tatizo na aggyjay, ila kwa ujumbe aloandika jana ulinishtua mpaka mke wangu akagundua kama kuna kitu kimenitokea maana mda huo ndo nilikuwa kwenye maandalizi ya kwenda kazini. Nilinyong'onyea kiukweli, ila yameshaisha sasa. Naomba tuwe pamoja tena, tucheke pamoja kama zamani na tuufurahie Ukapuku wetu pamoja.
Upendo utawale kwa wote.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…