BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Napafahamu hapo,nakuja sana kwa mpemba ukiwa unaenda kongowe kulia...kulikua hospital ya sanitas zamani sikuhiz hospital haina jina kuna duka la mpemba anavitu vingi sana...karibu kisotaMjimwema ndio maskani. Kuna sehem inaitwa kibaon, hapo mim ndio maskani.