Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
[emoji7][emoji7][emoji7]Nyumbani love
Siku hizi tunavunjiana heshimaa....oh, kumbe Rachel unamjua, mjomba wangu sababu za mauamaua akaamua kumuacha na kamuacha na kibendi , subiri matokeo uzuri aunty yangu taarifa anazo. Nitakupa mrejesho
We endelea kumkatalia mumeo asiamkiwe matokeo yke utayapata c umeona ufafanuzi wa binamuUjue we umekuwa baba yangu halaf kukutukana nashindwa
UsijaliAsante luv
I love youWewe anza miguno tuu..
Chumbani sio mbali ujue..
NdiooooUnamanisha hela ya kuongea ni hiyo jinsia
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Mmmh hauna shem bana
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124].....nakuangalia tu anko, lile koloni lako la hapa Lindi mjini toto la kimakua unalikumbuka?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe anza miguno tuu..
Chumbani sio mbali ujue..
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] jana nimemfuma sehemu anamwaga mistari
asante kwa utambulisho dia, ila wale ndugu zetu wawili waliwahi kunitambulishaUsijali
Kutana na mume wangu kipenzi, nyongo mkalia ini, baba watoto wangu...... Transcend
Sasa hivi ana kula diet na gym ya kufa mtuu..Weeee ashindww tu kunenepa sio kwa majina hayo
Sawa love, Nasubiria nje hapaNishakuelewa ;
Ngoja nifike home sweetie...!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] muache ajiachie bana, kupendwa rahaaaSasa hivi ana kula diet na gym ya kufa mtuu..
Manake alishaaanza kunenepa..[emoji3][emoji3]