Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Niko poa kabisa na Mungu hamtupi mja wake ....yule demu niliekutana nae kwenye gar tulikutana tena tukayajengaaaMzee wa Vent ni ajee?
Mzee wa upuuuzi
Uko pouwa?
Niko poa kabisa na Mungu hamtupi mja wake ....yule demu niliekutana nae kwenye gar tulikutana tena tukayajengaaaMzee wa Vent ni ajee?
Mzee wa upuuuzi
Uko pouwa?
Ras obe ni ajeee?Mmmmmh! Mimi huwa sipigi picha nafanya kazi kikosi cha mizinga sasa wanaonidai wote si watanijua wakatae kunipa assist.
Niko Lindi
Au umetekwaaNimejificha mwenzangu
Nini tena shemHata weweeee
Salama kaka akeWahenga tunasema kuchungulia sio kuona
Habari za humu ndani wakuu
Niko poa mzee wa civilMzee wa Vent ni ajee?
Mzee wa upuuuzi
Uko pouwa?
Washangaa nn
Eeee bwana..Niko poa kabisa na Mungu hamtupi mja wake ....yule demu niliekutana nae kwenye gar tulikutana tena tukayajengaaa
huku ndo nimehamia kabisa luvKumbe huku unafika mpenzi
Uko wapi kwanza?Hubie
MmmmhOmba picha za kina Naveen na Nareen basi.
Niko poa kabisa na Mungu hamtupi mja wake ....yule demu niliekutana nae kwenye gar tulikutana tena tukayajengaaa

Pouwa kabisa...Mie kwa niko poa kabisa shem, za wewe
Karibu mwayahuku ndo nimehamia kabisa luv
....unanitafuta nini lakini wewe aunty yangu!
Wiki mbili sasa nimetoa taarifa niko Lindi? Narudia tena niko Lindi
mke mweeee njooo hapausiige tabia za wale watu 3 za uchonganishiNini tena shem
Hahahaa....Mmmmh
Ataisomaa kwenye paipuuuuuu ....Yupooo sana jf huku kapuku tu simuoniwatu wamesepa na kijiji