.....usiendekee kufukua kwa kweli, maana niliona anko na Maka wanasimulia mambo ya gulio la Katerero kule Kanda ya ziwa magharibi. Aunty, na wewe huwa unashiriki Majimaji wars?
Raha za ujana nimuachie nani., eti namie nianze kusema enzi zangu pale kimeenda kimerud sitak mambo hayo.. bora nikufe kuliko kuona nyama wakat meno hamna kinywani..