Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji524]Zaburi 121

1 Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi?

2 Msaada wangu u katika BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi.

3 Asiuache mguu wako usogezwe; Asisinzie akulindaye;

4 Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, Yeye aliye mlinzi wa Israeli.

SIKU NJEMA WAPENDWA MUNGU AWABARIKI[emoji120]
Baraka ziwe juu yako nawe pia.
 
Asante mama hope umeamka poa
 
Back
Top Bottom