Nikoo poaa mme mweeMme mwee za asubuhi
Good morningMorning all kapuku
Pole mkuuu......duh, nimeota ndoto mbaya imebidi nijiulize maswali hizi ndoto nawezaje kuota ilhali maji ya TBL yamefurika melatonin haina ubishi.
Kumbe makaveli10 kaniita 'mkuu', aisee mdau mimi sio mkuu kabisa.
Kwa kuwa nimekueleza naimani sitaota ndoto mbayambaya tena za kuitwa mkuu
Mnamtaka nn binamu wangu lakiniPole mkuuu