BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
AminaHabari za Asubuhi wapendwaa, Naimana nyote ni wazimaaaa..
Mbarikiwe nyootee
Amina ubarikiwe sanqAmeeeeniii mama ...asante kwa chakula ya asubhi ubarikiwe mama
Mzima Obe Ubarikiwe sana......duh, nimeota ndoto mbaya imebidi nijiulize maswali hizi ndoto nawezaje kuota ilhali maji ya TBL yamefurika melatonin haina ubishi.
Kumbe makaveli10 kaniita 'mkuu', aisee mdau mimi sio mkuu kabisa.
Kwa kuwa nimekueleza naimani sitaota ndoto mbayambaya tena za kuitwa mkuu
Mmmh!....hahaha ahahaha, uzuri siku hiyo VIP nilikuwa nimeishona pale kwenye kiungio. Si unakumbuka ilichanikaga wakati nakimbilia krosi kama Lunyamila, ikapanda kifuani yaaninikawa kama nimevaa bra
UbarikiweNa kwako pia mpendwa
Haleluiya Haleluiya Utukufu kwa Mungu JuuAsante sana Mama Mchungaji
![]()
AminaaaaHabari za Asubuhi wapendwaa, Naimana nyote ni wazimaaaa..
Mbarikiwe nyootee
Na ubaya huna wa kukupaa siku hzi ata mtoto wako hakumbukii kabisa kukupaAsante Lee hakika nayapenda![]()
![]()
![]()
Ndo binamu wangu huyooMzima Obe Ubarikiwe sana
Yaani umefanya vema kujua hitaji langu,maana wewe ni mwananguNa ubaya huna wa kukupaa siku hzi ata mtoto wako hakumbukii kabisa kukupa