Makapuku Forum

Bado kaka. Ana advantage ya magoli mawili ugenini kwenye ile droo


ukicheki takwimu za dakika 45 ya kwanza sevilla kazidiwa sana mkuu utafikir yupo ugenini wakipata goli la pili mechi ishakuwa mpya hii
 
mechi ikiisha hivi Sevilla anapita kwa goli la ugenini ila mimi binafsi naomba apate ushindi maana nimeibeti kwamba Sevilla anashinda


mi niliomba shakta apate goli mbili mkuu alikuwa na odds nyingi sana nasubili gor moja tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…