koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,787
- 10,394
Villareal ndio hivyo kapata red cardkweli leo nimedakwa shakta na villarreal wapate goli moja ,moja tu
Villareal ndio hivyo kapata red cardkweli leo nimedakwa shakta na villarreal wapate goli moja ,moja tu
mbona mapemaUsiku mwema my family
Sawa mkuuUsiku mwema my family
bora ulale mkuunshakufa mkuu
hahahha poa naona liva anaongeza la 3bora ulale mkuu
tushatinga finalhahahha poa naona liva anaongeza la 3
Kazi za usiku kwani mie mlizi???Sawa jimena kazi njema.
Aaaa sissy jimena thank you 4 coming, nilikuwa nakungojaKazi za usiku kwani mie mlizi???
Niko hapa sasa, lete mpyaAaaa sissy jimena thank you 4 coming, nilikuwa nakungoja
Nakumis sana my dear dadaNiko hapa sasa, lete mpya
Pole sana....... Miss you mno, sasa sijui tatizo ni nini mpaka huwezi kuandika post zaidi ya moja, Natumai umefikisha malalamiko ya tatizo lako kwa wahusika na wanalifanyia kazi sasaDah aisee habari yenu bana makapuku ,kitambo sijaingia humu ,nilikua napita tu ,nina tatizo siwezi ku qoute wiki ya pili sasa na nikiandika comment zaidi ya moja naambiwa data error
Hivyo napita tu kuwasalimu
Usinimiss tena mana nipo hapa tayariNakumis sana my dear dada