teh teh teh tutapata presha sababu ya kubet jamanimi niliomba shakta apate goli mbili mkuu alikuwa na odds nyingi sana nasubili gor moja tu
Nimecheka saana.....sijamuona Youngblood Wala the name...............................................
20 most Influential JF members 2016
...........................................
Angalieni KITUKO ...bila hata aibu mtu anasema Top 20 member wakali halafu hakuna ht kapuku si ni kichekesho?
Huwezi taja japo TOP 5 bila kapukuz......waache wajifariji kwa kujitajataja
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
..........................
Ha haaa wakongwe wamehack account yako pole....Dah aisee habari yenu bana makapuku ,kitambo sijaingia humu ,nilikua napita tu ,nina tatizo siwezi ku qoute wiki ya pili sasa na nikiandika comment zaidi ya moja naambiwa data error
Hivyo napita tu kuwasalimu
teh teh teh tutapata presha sababu ya kubet jamani
Jifunze kutofautisha The Name & Th Name ni different people hapa JfNimecheka saana.....sijamuona Youngblood Wala the name.....
Wakongwe chaliiiii
Yes.....Jifunze kutofautisha The Name & Th Name ni different people hapa Jf
.........
Ila The Name hatokeitokei na wala sijawahi kuiona post yakeYes.....
Confusion::::::::
mkuu Sevilla ameshatupia bao la pili naomba uishe hivihahah balaa mkuu
mkuu Sevilla ameshatupia bao la pili naomba uishe hivi
Mkuu nimeshakumalizahapa leo tunalogana mkuu mm naomba shakta apate bao la pili na liver atoe gg&3+
Mkuu nimeshakumaliza