Makapuku Forum

Makapuku Forum

wakuu kwa wale wa man city poleni sna
e70cf9f1171b5029561f7961341be615.jpg

Zamu ya Riverfool FC

.......................
 
leo wanakufa hao villareal sio wa mzaha
Gane dk 90
Halafu nasikia bingwa wa Europa League atakuwa anacheza Champions League
Sina uhakika kuhusu hii ishu
.. ..............
 
raha ya kibanda umiza ni kupeana presha tu mala piga haooooo
 
Gane dk 90
Halafu nasikia bingwa wa Europa League atakuwa anacheza Champions League
Sina uhakika kuhusu hii ishu
.. ..............


ndio anacheza uefa mana sevilla alichukua akapanda uefa

mkuu bitoz leo bwawa la main linateketea goli nyingi sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom