Makapuku Forum

...ajiue wapi? Namjua mjomba wangu mimi, wakishazika tu kesho anapeleka taarifa bomani ya kufunga ndoa. Anko wangu ni bingwa wa kuyatia majaribu ili asiingie majaribuni
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] we binamu hivi me na anko wako tukiachana na wewe ndio hao wa kusherehekea na kula pilau
Hahahaa...

Hapo sipo mimi !

Cc Shunie
 
Binamu santeeee[emoji7][emoji7][emoji7]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…