Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
hahahaha unanichekesha tu hapaUsiponiamin mimi.. labda arud yesu ndio utamuamin, katika list ya forbes mie ndio mwanadamu mkweli kuliko wote dunia hii.
hahahaha unanichekesha tu hapaUsiponiamin mimi.. labda arud yesu ndio utamuamin, katika list ya forbes mie ndio mwanadamu mkweli kuliko wote dunia hii.
Naanza kuandaa sare c tutaenda kg eeeehMama mchungaji, hujambo lakini? Nilikumiss sana, unajua hili lakini?
Miss u shemelaMorning to y'all... Nimewamisi wajameni..![]()
Hajambo,hope umetuletea zawadiThnx shemeji yangu.. nmekumc, vip ndugu yangu yuko poa
WoooooooooooyooooWoyoooo........ Binti wa muba huyoo..
Wanangu wote piga kelele.. (singeli tone)
Karibu sanaDah.. nashkuru, nkipata muda ntakuja kuwajulia hali.
Nko poa kabisa,Morning too my love, natumaini uko poa
Leo hata sijakuamsha
shukrani mkuuView attachment 592746Asubuhi njema makapuku wote
Wiki mbili ikawa mwezi.Morning to y'all... Nimewamisi wajameni..![]()

Hafi haraka huyuujana tu nimekuulizia, we miss u moreeee zawadi?

WalishaachanagaaThnx shemeji yangu.. nmekumc, vip ndugu yangu yuko poa
Wozaaaaaaaa......Woyoooo........ Binti wa muba huyoo..
Wanangu wote piga kelele.. (singeli tone)

Kweli... Thnx kwa upendo madame s..
Zawadi kama zote, andaa canter ya kuja kubebea ndugu yangu..

Duu...huu uongo Wa kiwango cha juu kabisaaUsiponiamin mimi.. labda arud yesu ndio utamuamin, katika list ya forbes mie ndio mwanadamu mkweli kuliko wote dunia hii.
Naanza kuandaa sare c tutaenda kg eeeeh