Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
My sweetheartNzuri kabisa mama mchungaji za siku
My sweetheartNzuri kabisa mama mchungaji za siku
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mimi pia nina vyerehani vinne [emoji3]
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] hongera shemela
Sakayo umekuja na mama eeeeh,Mdogo wako anaendleaje[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Nmeisoma shemela shukraniUmesomaaa ??
Na shululu hujui alipo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona mnaendlea kujteka na kutekana,mko wapi nami nije[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Shululu yupo njiani toka kazin,nawauliza nyieNa shululu hujui alipo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anaendelea vizuriSakayo umekuja na mama eeeeh,Mdogo wako anaendleaje
Sisi tupoShululu yupo njiani toka kazin,nawauliza nyie
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] msalmieAnaendelea vizuri
SawaSisi tupo
We mbona ulitukatili za kwakolee empire hii Hadithi unaichota wap nikaisome mwenyewe jamani naona huku siridhiki
HakikaBhasi tuendelee kupambana na viwanda vyetu
My love[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji120] [emoji120]
Hongera kwa 278K[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji120] [emoji120]
Niambie kipenzi changuMy sweetheart
Muziki: Mashaka Hayaleti Kuamini
...kama umegundua, oh kumbe sikuwa nimekuambia mapema. Basi fahamu hili, nina jirani yangu mmoja mtata sana na utata wake ni pale hata akikukuta yeye ndo anataka uanze kumsalimia. Lakini ujue huyu jirani yangu sio kama wewe maana wewe ni mtu spesheli na ndiyo maana tunasalimiana bila kutiliana mashaka nani alikuwa wa kwanza kufika. U khali gani na siku yako ilikuwaje leo? Mimi sijambo.
Leo nimefurahi sana kiukweli, yes, sana tu maana nimemuona BlessedHope humu mapema tu yaani nikajikuta napatwa na kigagaziko ulimi umepigwa ganzi na moyo umefurahia. It's great to see you back Mama Mchungaji, tulikumiss sana na ninaamini unalijua hilo. Karibu na leo niseme tu kinyume cha kumuamini mtu ni kuwa na mashaka (suspicion) juu yake na kama huna mashaka na mtu maana yek unamuamini huyo mtu. nakuamini Kapuku mheshimika
Muziki sasa, sikiza sauti bora kabisa katika anga ya muziki wa taratibu na kisha uwe na wakati mzuri masaa machache Jumatatu ikamilike. asante sana shululu kwa magazeti, asante mjomba lee empire kwa UF, na hadithi na zaidi asante Kapuku kwa wewe kuwa hapa. Tunafurahi kukuona tena BH