BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Amen AmenTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa Mama mchungaji
Amen AmenTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa Mama mchungaji
MorningMorning
Amina Amina ubarikiweView attachment 590637Asubuhi njema makapuku wote na mwanzo mwema wa wiki
Mzima Lee Mungu akubariki mwananguMama huyooooo
Niliwamis pia wanangu wapendwa nawapendaaaaa sanaa[emoji7] [emoji7]Baada ya kupata magazeti kwa udhamini mnono wa mama mchuchu ....tulikumis sana mama ....
Tupate unbelievable facts...
Nzuri kabisa mama mchungaji za sikuSalama za uzima Shululu
Familia haijambo, za nyumbani naweMorning Shululu za uzima na familia
Mimi nina cha kutengeneza juis ya miwaHivyo ndivyo tunavyojenga Viwanda
Mwanao hajajuaa nini??[emoji4] [emoji4] [emoji4]Mzima Lee Mungu akubariki mwanangu
Mimi pia nina vyerehani vinne [emoji3]Mimi nina cha kutengeneza juis ya miwa
Bhasi tuendelee kupambana na viwanda vyetuMimi pia nina vyerehani vinne [emoji3]
Amaerudi?Baada ya kupata magazeti kwa udhamini mnono wa mama mchuchu ....tulikumis sana mama ....
Tupate unbelievable facts...
Woyoooooooo.Morning Shululu za uzima na familia
Welcome welcomeee ...welcomeee whaaaaaaAt....Woyoooooooo.
Mama mchuchu amerudi..
Welcome home.
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji120] [emoji120]Wale wa German Machine ....wiki yake hii....
Umesomaaa ??[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji120] [emoji120]
Mama mchuchu shikamoo,happy to see u againSalama za uzima Shululu
Luv u too[emoji8] [emoji8] [emoji8]Niliwamis pia wanangu wapendwa nawapendaaaaa sanaa[emoji7] [emoji7]