Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Ikyindi kakaDada kutwimaki
Ikyindi kakaDada kutwimaki
Unaenda kumpa papa eeehWoooooooooozaaaaaaaa![]()
![]()
T santeeee ngoja nikampe baba d wangu mie
![]()
![]()
![]()
Binamu santeeeMuziki Wikend: A Lady In Red
Jumamosi ya zamani, si unalijua hili Kapuku muheshimika ambaye bila kupoteza wakati ninakusalimia nikiwa na tabasamu kabisa. tabasamu langu lina sababu mbili kubwa, kwanza leo ni wikend na nimetoka kuungana na maveterani wenzangu kufanya mazoezi na baada ya mazoezi tukaenda kugonga supu na bia. Huwa nawashangaa wanaotushangaa kuwa tunafanya mazoezi au tunasaka hamu ya bia, mbona wao wakimaliza wanaenda kula chapati mbili na chai? Tuendelee kushangaana tu, maana hatuvunji sheria.
Sababu ya pili ya tabasamu langu ni kwa sababu wewe, yeah, you Kapuku uko hapa. Ujue kuwepo kwako hapa kunalifanya jukwaa hili kuwa la kipekee sana na linavutia sababu tu wewe una mvuto, ulimbo, sumaku na zaidi unajua mengi japo huchoki kujifunza. Karibu sana moneytalk , hapa utafurahia, utapata maarifa, burudani na utani. tunajua kabisa umekuja na vitu adimu kulifanya jukwaa hili kuwa poa. na hata kama umekuja kupita tu, sio kesi maana tunakufurahia.
Muziki sasa, sio tu unamuona mdada au mmama kapendeza na nguo yake nyekundu unaanza mawazo yako ya kichawi ooh mganga wa mvua au ana majini. Nguo nyekundu humtoa bomba sana mwanamke anayeivaa kistaha yaani unaruhusiwa kumuita bombadia. Sasa na vidume nao wakivaa red ndo utashangaa hujafika mtaa wa tano tu radi zinakuvurumsha. Hongera sana kwa wadada mnaovaa red.
NdiwoooooooooooUnaenda kumpa papa eeeh
Imbatata nulukama vitalipo dada ?Ikyindi kaka
Usimpe Samaki....mpe papaaaaa..!Woooooooooozaaaaaaaa![]()
![]()
T santeeee ngoja nikampe baba d wangu mie
![]()
![]()
![]()



Wee ungepigia mstari tuuUnaenda kumpa papa eeeh
Shem...Ndiwooooooooooo


Ewaaaaaaaa binamu
Mmmmmmmh Tumosa huyuuu ??....hivi anko unajua Tumosa ndo ni namba moja kwenye ile list yako. Ulipokuwa umeenda kwa yule kibonge muuza kongolo alisema maneno ashakum nashindwa hata kuyaandika. Eti ni kweli umemuongezea mtaji afu umempeleka englishi kozi sababu eti maneno ya kiswahili hayakufurahishi mnapofanya yenu.
Mimi nikashangaa tu, nitasema nini tena kwa mjomba wangu
Nikiachikaaa utaweza kunipa ambacho ntakikosaa ??Hv binamu umewahi kupigwa kweli
Ndo maana nakupendaaaaaBinamu anko wako siku nyingine akienda kwa huyo muuza kongoro mkumbushe anibebee na me
Ilikuwaaa amaizing ukaribisho wa leo ni zaidi ya kupendwaa....Woooooooooozaaaaaaaa![]()
![]()
T santeeee ngoja nikampe baba d wangu mie
![]()
![]()
![]()
AiseeeNikiachikaaa utaweza kunipa ambacho ntakikosaa ??
Nimeulizaa make nashindwa kumuelewaa TumosaAiseee
Utajianza tu binamu hivi unajua unanikosesha amani sana binamu jaman nilikukosea nini mimi