Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
END
mrs obe
Asantee![]()
![]()
Ni mwanzilishi mwandamizi wa PDPA-People's Democratic Party of Afghanistan. .na harakati zake za siasa alizianza akiwa kama mwana journalist akiwa amezaliwa July 15 maeneo ya Kabul na kwenye kusoma elimu ya juu aliipata apo maeneo ya kwao Kabul university
Miaka ya 1965 alikuwa mgombea wa chama chake japo mwanzoni alishindwa kukitetea
Anakumbukwa sana hasa kwenye saur Revolution na kipindi walichopitia cha vita baridi ....
Moja ya changamoto kwenye uongozi wake ni kuibuka kwa makundi mawili katika uongozi wake nikimanisha wale wa mlengwa wake Khalqist na parchamite
Mpendwa wa binamu obe ...mbona hii kama umeenda chaka kidogo ...kumbukumbu zinaonesha September 26 au mm ndo nakosea au umefata ile system ya zamani nikimanisha old scale (O.S)KUZALIWA
1849 - Mwanasaikolojia wa Urusi, Ivan Pavlov.
1864 - Robert Cecil, miongoni mwa waanzilishi wa Jumuiya ya Mataifa alizaliwa
Rappa mtoto wa Olu Dara1973 - Rapa Nas Escobar alizaliwa.
Mnavosalimiana, na the way mnavointeract, inafurahishaKwann Tetra
Labda nilikoseaaMpendwa wa binamu obe ...mbona hii kama umeenda chaka kidogo ...kumbukumbu zinaonesha September 26 au mm ndo nakosea au umefata ile system ya zamani nikimanisha old scale (O.S)
Anyway twende sawa
![]()
![]()
Ivan pavlov mwanasaikolojia kuwah kutokea katika dunia hii huku Urusi wakijivunia kuwa na kumbukumbu za kichwa hiki katika maktaba zao make kama sisi tunafaidika je wao wanajionajeee....
Pavlov alitokea katika familia ya dini ila yeye akaona sayansi ndo kila kitu kwake
Chuo cha st Petersburg wanajivunia kuwa na history na mtu huyu kwani aliwahi kuwepo hapo katika idara ya physics na hesabu na alikuwa mbobezi katika natural science nikimanisha sayansi pure kabisa
Wengi tunamjua hasa kwa zile theory zake 3 muhimu ila wengine wanazifanya kuwa moja ya classical conditioning. ..ila zipo nyingine kama Transmarginal inhibition na behavioral modifications. ..
Kwa kukumbushia ile ya classical conditioning ndo ile aliyofanya na msosi pamoja na mbwa ...usisahau na time hapa form 3 wengi mnakumbuka
Kwenye theory yake alipanga mda maalumu wa kumpa mbwa msosi kila siku ...namaanisha exactly time mfano kama saa 7 kamili bhas hachelewiii....alifanya hivo kwa mda ...mbwa alizoea na mda ulipokuwa ukifika anafanya salvation ....akimanisha anataka kula ...![]()
Hapana ukifanya mahesabu inakuwa tareh ya leo .....uko sawaLabda nilikoseaa![]()
Asante kwa mapicha pichaa
OK goodHapana ukifanya mahesabu inakuwa tareh ya leo .....uko sawa

Miss au misses?![]()
END
mrs obe
Heshima kwakoMnavosalimiana, na the way mnavointeract, inafurahisha
Na kwako pia lee ngome. habari za sikuHeshima kwako
Nzuriii mkuu uko poa??Na kwako pia lee ngome. habari za siku
Aise mzima lakini?....umepotea sana, well, humu Kapuku maana unaweza kuwa kwenye majukwaa mengine.