Makapuku Forum

Makapuku Forum

...mdau, muziki ni tiba ya mengi, Dr Remmy kaimba kuwa muziki ni maisha, utajiita mfiadini lakini lazima kuna muziki kwenye dini.

Na tusiojua kuongea wala kuandika, muziki hutusemea na kutuleta pamoja.

Unapenda muziki wa aina ipi? (genre)
Narudi nyumbaniiiii oooh eeenh narudia Tanzania mbele kwa mbeleee woiii binamu umenikumbusha Dr Remmy Mungu amlaze mahali pema peponi ameen
 
84e640d3972a8f66e985a973ef8f007d.jpg
 
...mdau, muziki ni tiba ya mengi, Dr Remmy kaimba kuwa muziki ni maisha, utajiita mfiadini lakini lazima kuna muziki kwenye dini.

Na tusiojua kuongea wala kuandika, muziki hutusemea na kutuleta pamoja.

Unapenda muziki wa aina ipi? (genre)
Hahaha, napenda sana rege wanaita RAGGAE kizungu (kama sijakosea)

(nikiwa na head phones au redio inayochuja muziki vizuri na kutoa mdundo murua kabisa unaopenya vizuri masikioni)

Nikisikiliza wimbo wowote hata kama sio rege alimradi niwe naupenda huwa nasahau kila kitu na kuuacha moyo wangu ufurahi na kuyaignore masumbufu yooote ya dunia hii.
 
wimbo gani wa reggae unaoupenda, mmoja tu unaoupenda tufurahi pamoja
 
Muziki: Makinikia

Niaje Kapuku mheshimika, natumaini umekuwa na siku njema kabisa na muda huu, well, muda huu UEFA -Cahmpion League inakaribia kuanza. Kuna wenzetu wanacheza kesho siku ya futui tutawakumbusha. Binafsi nimekuwa na wakati mzuri leo, kazi ni uhai. Kazi na kula kama pipa na mfuniko, leo ubweche na maharage ya soya, nimekaribishwa tu usijenitafuta na watu wasiojulikana. anayekaribiswha hakaribishi.

Kuna watu wanapenda kujificha jamani, sio kujificha tu na kuficha wanachofanya. hii inaweza kuwa sawa kama ni 'self-persali' business lakini kama ni interest ya umma kujua nini kinaendelea basi huna haja ya kuficha. Hebu rejea mazungumzo ya makinikia, tunawaona wazungu tu, ila wabongo wenzetu wanajifichaficha kama wanataka kutuibia. na siku zote anayependa kujifichaficha ni mwizi tu na wala hakuna maelezo mengine zaidi ya hayo.

Muziki sasa, si nilikwambia niko Lindi wiki hii yote, yeah, bado niko hapa na ninafurahia kiupepo cha uzuri kabisa jua likichelewa kuzama na kunifanya niwaze Lindi na Kigoma ni mikoa inayofaa kuwa na saa tofauti na mikoa mingine. burudika sasa

Similar Discussions

Back
Top Bottom