Makapuku Forum

Makapuku Forum

MATUKIO

1960 - Iraq, Iran, Kuwait na Saudi Arabia ziliunda jumuiya ya OPEC.
232945739dc694efeae7097959be3936.jpg

OPEC - Organization of the Petroleum Exporting Countries iliyoanzishwa kwa lengo la kumarket na kucontroll uzalishaji na uuzajii wa mafuta katika nchi mbalimbali mwanzoni zikiwa tano (Iran, Iraq, Kuwait,Saudi Arabia, Venezuela),

Mpaka sasa zishafika nchi 14 katika umoja huu zikiwa ni pamoja na Algeria, Angola,Ecuador, Equatorial Guinea, Gabon, Iran, Iraq, Libya, Nigeria, Qatar, Saudi Arabia(the de facto leader), United Arab Emirates, and Venezuela na Indonesia

f5b46e60cea5267476597f173b294622.jpg
 
Asantee
 
1979 - Nur Muhammad Tarak, Rais na na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Afghanistan aliuawa katika mapinduzi ambapo Waziri Mkuu Hafizullah Amin alishika madaraka
7556ed3e2bc8bda90cb9a83593adfeed.jpg

492efaf6035cf0e5744425c97719651e.jpg

Ni mwanzilishi mwandamizi wa PDPA-People's Democratic Party of Afghanistan. .na harakati zake za siasa alizianza akiwa kama mwana journalist akiwa amezaliwa July 15 maeneo ya Kabul na kwenye kusoma elimu ya juu aliipata apo maeneo ya kwao Kabul university
Miaka ya 1965 alikuwa mgombea wa chama chake japo mwanzoni alishindwa kukitetea

Anakumbukwa sana hasa kwenye saur Revolution na kipindi walichopitia cha vita baridi ....

Moja ya changamoto kwenye uongozi wake ni kuibuka kwa makundi mawili katika uongozi wake nikimanisha wale wa mlengwa wake Khalqist na parchamite
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom