Makapuku Forum

Makapuku Forum

...jiangalie wewe, mimi sio mkuu

6308bc25ace53cd4525df8b042c4bb16_400x1000.gif
 
Muziki: Makinikia

Niaje Kapuku mheshimika, natumaini umekuwa na siku njema kabisa na muda huu, well, muda huu UEFA -Cahmpion League inakaribia kuanza. Kuna wenzetu wanacheza kesho siku ya futui tutawakumbusha. Binafsi nimekuwa na wakati mzuri leo, kazi ni uhai. Kazi na kula kama pipa na mfuniko, leo ubweche na maharage ya soya, nimekaribishwa tu usijenitafuta na watu wasiojulikana. anayekaribiswha hakaribishi.

Kuna watu wanapenda kujificha jamani, sio kujificha tu na kuficha wanachofanya. hii inaweza kuwa sawa kama ni 'self-persali' business lakini kama ni interest ya umma kujua nini kinaendelea basi huna haja ya kuficha. Hebu rejea mazungumzo ya makinikia, tunawaona wazungu tu, ila wabongo wenzetu wanajifichaficha kama wanataka kutuibia. na siku zote anayependa kujifichaficha ni mwizi tu na wala hakuna maelezo mengine zaidi ya hayo.

Muziki sasa, si nilikwambia niko Lindi wiki hii yote, yeah, bado niko hapa na ninafurahia kiupepo cha uzuri kabisa jua likichelewa kuzama na kunifanya niwaze Lindi na Kigoma ni mikoa inayofaa kuwa na saa tofauti na mikoa mingine. burudika sasa

HV unajua nj kiasi umenichekesha?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom