Makapuku Forum

Makapuku Forum

Asante kwa kufikisha salamu zangu kwake,

Hukumwambia kuwa hela ya kununulia nilimuibia anko wangu? Je, hana tatizo nikiiba tena hela za anko wangu nikamnunulia?

Muulize tu kwa nia njema maana kama anakubaliana na hilo, mimi siku mjomba akinipa hela nipeleke kwa side chick(sio main chick wimbo unaopendwa na aunty yangu wewe na Tetramelyz anasema sauti ya Maua na sura ni tofauti😀) basi nifanye mchakato, nifikishe nusu , nusu nimnunulie simu
 
Moshi- jirani na ule mteremko wa kwa sadalla

tenor.gif
 
Asante kwa kufikisha salamu zangu kwake,

Hukumwambia kuwa hela ya kununulia nilimuibia anko wangu? Je, hana tatizo nikiiba tena hela za anko wangu nikamnunulia?

Muulize tu kwa nia njema maana kama anakubaliana na hilo, mimi siku mjomba akinipa hela nipeleke kwa side chick(sio main chick wimbo unaopendwa na aunty yangu wewe na Tetramelyz anasema sauti ya Maua na sura ni tofauti😀) basi nifanye mchakato, nifikishe nusu , nusu nimnunulie simu
Hahaha, Obbe kwanini unapenda muziki saana??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom