Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Misosomoroootena nyama nyama woiiiiiii
Kama kawa kama dawaMmepoa nyie kapuku mbona ipo tuuu na kila kitu kinaendelea
Mkuu heshima ykoMdau, mbona humu kumechangamka sana! wewe tu ndo unapotea ila hakuna kilichobadilika hata kidogo, well, kuna leo Hstoria na Jimena aliyemshikia Mussolin5 ndo imepumzika kidogo lakini unajua siku hizi kuna muziki+, yeah, Transcend anaweka muziki laini mara kibao na chakula cha fikra, then shululu anapandisha muziki pale yangu ikiscratch.
SHIMBA YA BUYENZE na falsafa zitakuja maana aliahidi, BlessedHope kajipumzisha kigamboni simu yake ni tecno new model, Bitoz mbuzi zake anafugia mjini, zimetaifishwa atakuja tu.
Anko wangu lee empire hadithi yake iliisha na kuna nyingine ikaanza (hii sikuisoma maana ile ya kwanza iliniacha in suspense), husna muba mpendwa wangu mapicha na hadithi kama kawa. Aunty yangu Shunie sala zinaendelezwa akishirikiana na dumejeuri
Hujamuona nani maana Tumosa yupo, wale mapacha wanazidi kukua vizuri, Sakayo yupo japo zile morning fancy pictured quotes haziweki, Clkey yupo, mzeewakungoa yupo akitaniana na babu yake, Tetramelyz yupo anadai namfitinisha, Mkushi wa kusi kama kawa, yupo, Madame S kaibiwa simu nadhani maana kuna kitu tunakikosa.
Nyagei mtaasisi mwenzangu yupo na mambo ya soka, Mndali ndanyelakakomu karejea majukumu yamepungua.
Nani hujamuona? Bailly5 yupo, eden kimario kila asubuhi anakuja
![]()

We nae niniiSio kama ile ya mwezi wa sita kurudi nymaa
Mdau, mbona humu kumechangamka sana! wewe tu ndo unapotea ila hakuna kilichobadilika hata kidogo, well, kuna leo Hstoria na Jimena aliyemshikia Mussolin5 ndo imepumzika kidogo lakini unajua siku hizi kuna muziki+, yeah, Transcend anaweka muziki laini mara kibao na chakula cha fikra, then shululu anapandisha muziki pale yangu ikiscratch.
SHIMBA YA BUYENZE na falsafa zitakuja maana aliahidi, BlessedHope kajipumzisha kigamboni simu yake ni tecno new model, Bitoz mbuzi zake anafugia mjini, zimetaifishwa atakuja tu.
Anko wangu lee empire hadithi yake iliisha na kuna nyingine ikaanza (hii sikuisoma maana ile ya kwanza iliniacha in suspense), husna muba mpendwa wangu mapicha na hadithi kama kawa. Aunty yangu Shunie sala zinaendelezwa akishirikiana na dumejeuri
Hujamuona nani maana Tumosa yupo, wale mapacha wanazidi kukua vizuri, Sakayo yupo japo zile morning fancy pictured quotes haziweki, Clkey yupo, mzeewakungoa yupo akitaniana na babu yake, Tetramelyz yupo anadai namfitinisha, Mkushi wa kusi kama kawa, yupo, Madame S kaibiwa simu nadhani maana kuna kitu tunakikosa.
Nyagei mtaasisi mwenzangu yupo na mambo ya soka, Mndali ndanyelakakomu karejea majukumu yamepungua.
Nani hujamuona? Bailly5 yupo, eden kimario kila asubuhi anakuja
![]()
Haijafunguka obe
Obe ktk ubora wake...nyma kwa nyama ndo tamu, tena ukipata yenye nundu ndo utajua nyama nyama woiiiiii
Si ndio hapo nnapomshangaaKwani mnashindana na watuuu
Wacha waoane si unajua mtu tena ukitaka ndoa na wewe uvae shela jeupe

Misosomoroootena nyama nyama woiiiiiii
jumapili njoo mtembelee binamu yako ntakupikia njugu mawe na kashataaa usosomolee
Hata me naona![]()
![]()
Wa koromijee huyoo
Mumeo anaivuta vizuriii tu mpikie tuNdio nataka tupike bangi tujue taste yke
Haha hahaaaa asante anti yangu we kweli unanipenda yaani haujawahi kuniangusha kabisaaBinamu obe nilisahau jamani nilimpa mama mchuchu salaam zako ulizoniamba umenunua Samsung galaxy anasema mnunulie na yeye
Kyela tukuyuWe unahic mm wa wapi kwani
Mkule wenyewe msiwape watotoNdio nataka tupike bangi tujue taste yke
Wooooooozaaaaaa binamu yaan kama ulikuepo...nyma kwa nyama ndo tamu, tena ukipata yenye nundu ndo utajua nyama nyama woiiiiii
Mbona me nimeonaHaijafunguka obe
Humu bwana ukiwepo sawa usipokuwepo sawa na mambo yanaendelea kama kawaidaSi ndio hapo nnapomshangaa