Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
Hivi umeanza lini ubishi baba d jana nilikua nawekewa viGIF tu binamu vya kunicheka vya nyau na vingine vya kuwashwa etiSio kweliiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi umeanza lini ubishi baba d jana nilikua nawekewa viGIF tu binamu vya kunicheka vya nyau na vingine vya kuwashwa etiSio kweliiii
Binamu hawez nisalitiiiiHivi umeanza lini ubishi baba d jana nilikua nawekewa viGIF tu binamu vya kunicheka vya nyau na vingine vya kuwashwa eti
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee ndio umemaanisha nini tena mkuu we karibu unachojisikia kuchangia changia
Na husna alivo na gundu akimuweka mtu avatar wikii ijayo washaachana
Aiseee ndio umemaanisha nini tena mkuu we karibu unachojisikia kuchangia changia
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba D wewe jamaan umenikumbusha kwenye uzi wa shedede maserati kamuuliza shedede si kuna mdada humu mpaka avatar mlibadilishana ilikuaje tenaNa husna alivo na gundu akimuweka mtu avatar wikii ijayo washaachana
GunduuBaba D wewe jamaan umenikumbusha kwenye uzi wa shedede maserati kamuuliza shedede si kuna mdada humu mpaka avatar mlibadilishana ilikuaje tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawez kurud kwao huyu
Sasajeeee hiyo nilimuomba wa interview selfie akanigomeaa jana
Wenzenu wanakula ban hukoSasajeeee hiyo nilimuomba wa interview selfie akanigomeaa jana