shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Morning too mme mweeMorning
Morning too mme mweeMorning
Itakuwa hivyoWolper harufu imekata..
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Nawe pia
Sasa nimekufanyia nn..?!Binamu heshima kwako ....sasa binamu ndo wanifanyia nn lakin
Hiiiii kumbe lihusna[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Sasa nimekufanyia nn..?!
Kama kwa queen ulienda mwenyewe sikukupeleka sasa Mimi nimefanya nn au unataka tu nigombane na aunti yangu eti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiiiii kumbe lihusna[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kwendaaa zakooooo.......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Kwendaaa zakooooo.......
Hapana Shaka mkuu nikija uko mkoan ntakucheck!Nipo dar mkuu
Mola anasaidia uzima upo!Za dodoma
Poa mkuu, karibuHapana Shaka mkuu nikija uko mkoan ntakucheck!
Amen, Asante kwa neno13rd wednesday, 2017, sept
[emoji411]Neno la Mungu asubuhi[emoji411]
[emoji477][emoji477]Waebrania 12:1-2[emoji477][emoji477]
_1 Basi na sisi pia, kwa kuwa tunazungukwa na wingu kubwa la mashahidi namna hii, na tuweke kando kila mzigo mzito, na dhambi ile ituzingayo kwa upesi; na tupige mbio kwa saburi katika yale mashindano yaliyowekwa mbele yetu,_
_2 tukimtazama Yesu, mwenye kuanzisha na mwenye kutimiza imani yetu; ambaye kwa ajili ya furaha iliyowekwa mbele yake aliustahimili msalaba na kuidharau aibu, naye ameketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha Mungu._
✝✝✝✝✝✝✝✝✝✝
MUNGU NI PENDO ATUPENDA[emoji120]
✝✝✝✝✝✝✝✝✝✝
Kwema mama Wenger, za chugaJamani kwema hapa
Chuga safi kabisaa sijui wwKwema mama Wenger, za chuga
Niko poa kabisaChuga safi kabisaa sijui ww