moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,195
- 770,334
Wapiii tenaaa niokoee jahaz
Unafaa kwa mboga huo
Shemela shunie za kwako
Karibu karibu
Hivi umeanza lini ubishi baba d jana nilikua nawekewa viGIF tu binamu vya kunicheka vya nyau na vingine vya kuwashwa eti
Sent using Jamii Forums mobile app

AiseeNa husna alivo na gundu akimuweka mtu avatar wikii ijayo washaachana
Akajibuje shemelaBaba D wewe jamaan umenikumbusha kwenye uzi wa shedede maserati kamuuliza shedede si kuna mdada humu mpaka avatar mlibadilishana ilikuaje tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahha sijarudi tena sijui alijibu vipi shemela wewe link si niliwawekea jamanAkajibuje shemela
Ipi tena shemela
Si mchezo