Makapuku Forum

Makapuku Forum

13rd wednesday, 2017, sept
[emoji411]Neno la Mungu asubuhi[emoji411]

[emoji477][emoji477]Waebrania 12:1-2[emoji477][emoji477]

_1 Basi na sisi pia, kwa kuwa tunazungukwa na wingu kubwa la mashahidi namna hii, na tuweke kando kila mzigo mzito, na dhambi ile ituzingayo kwa upesi; na tupige mbio kwa saburi katika yale mashindano yaliyowekwa mbele yetu,_

_2 tukimtazama Yesu, mwenye kuanzisha na mwenye kutimiza imani yetu; ambaye kwa ajili ya furaha iliyowekwa mbele yake aliustahimili msalaba na kuidharau aibu, naye ameketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha Mungu._

✝✝✝✝✝✝✝✝✝✝
MUNGU NI PENDO ATUPENDA[emoji120]
✝✝✝✝✝✝✝✝✝✝
Ameen barikiwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom