Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Sijakomaa [emoji30][emoji30][emoji30] mpaka niwaone wakina jjUmekoma
Sijakomaa [emoji30][emoji30][emoji30] mpaka niwaone wakina jjUmekoma
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]We Baba utaniua ujue au hujui kama unatembea na roho yangu ebu niwekee huyo nyimbo kwanza aliimba jaydee na mwana fa hata sijui inaitwajeee baba d
Ili nipone jaman naumwa ugonjwa wa kutowaona wakina jjIli ugundue nn
[emoji3] [emoji3] [emoji3] wewe Lee, fungua pm nikutumie picha zetuKweli kabisa Mrs shululu wa bongo movie ya kapuku [emoji1][emoji1][emoji1] nilikumiss tu Mimi
Kinachokupitisha niniiii[emoji124] [emoji124] [emoji124]
TupoooMakapuku wenyewe
Mie sijambo kabisaaa sijui wwMama Wenger vip uko poa
Bongo movieMe mbona huwa napambana na hali yangu shemela na ninapambana na mahusiano yangu huwa sitaki msaada wowote jaman
Nileteeni jaman au mnataka nikufwe bila kuwaonaMfyuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mjomba mtu mbona wakina JJ ni wa kiume[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hao watakuwa watoto wa Sakayo shemela![]()
![]()
Hapa wakiwa na mwaka mmoja na nusu.
Nitakufwa nae [emoji1][emoji1][emoji1] ili nimuache wakina teller wamfaidiUkufwe
Wamekudanganya wakina jj wa kiume hata mwaka hawajafikaHiz picha alinitumia Tumosa kwenye whatsapp..
Ama na mimi nilidanganywa?
Mimi nimeshawanunulia hadi midoli ya kucheza ujue..[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Shindwaaaaa katika pepo la shululu
Shemela sie watoto wetu ni wa kiume hao cio wenyeweShemela...
Mimi natuma picha za wajomba zanu kina jj
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Sioo wenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ujijue shemela upo kwenye list ya wabaya wangu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mjomba ana watoto bandiaHao watakuwa watoto wa Sakayo shemela