Makapuku Forum

Makapuku Forum

images
 
Muziki: Sunday Love

Niaje Kapuku mheshimika, naamini wikend yako ilikuwa nzuri na sasa unajitafakarisha kuifanya wiki hii iwe nzuri na yenye mafanikio. Ni jambo zuri kupanga mipango ya wiki nzima, mwezi na hata miaka na miaka.

Jumapili hatuna mengi sana ya kulonga isipokuwa kupata burudani ya taratibu huku ukijua kuwa uwepo wako hapa unalifanya Jukwaa hili kuwa bora na la kuvutia kabisa.

Leo tupate muziki huu kuomboleza kifo cha nguli wa country Don Williams ambaye amefariki akiwa juzi akiwa na umri wa miaka 78.

Shukrani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom