Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
Veeep tena mkushi na avatarHuyo kwenye avatar n nan
Veeep tena mkushi na avatarHuyo kwenye avatar n nan
Bila shaka, chaguo unayopenda na ndo itakuwa nyimbo yetu ya siku.Binamu obe nakuona ujue unaanza hata kama sinywi nitakuepo pembeni ya baba d eti binamu naruhusiwa kuchagua nyimbo sasa hivi
Binamu roho ngumu zaidi ya hii niliyokua nayoBila shaka, chaguo unayopenda na ndo itakuwa nyimbo yetu ya siku.
Kuwa pembeni ya anko wangu inabidi uwe na roho ngumu maana tunapoenda leo anajulikana sana

naomba nyimbo ya main imfikie baba d wangu popote alipo 

Binamu roho ngumu zaidi ya hii niliyokua nayonaomba nyimbo ya main chick imfikie baba d wangu popote alipo
![]()
Kaimba maua sama umeanza binamu naomba niwekee nyimbo mie....kaimba nani hii main chick? Kiswahili chake si kinatofautiana na side chick?
Unataka kuvumbua nini na avatar za watu jamaan we jua avatar tu![]()
![]()
Nauliza...
Kafanyaje tena NyageiNyagei
Ni salama?Nyagei
Muziki: Furahiday ya Main Chick Sio Side Chick
Ni Ijumaa nzuri naamini kwako Kapuku mheshimika, uzuri wa Ijumaa kwa upande wangu ndo siku pekee ambayo huwa sipokei shikamoo, nakuwa casual na uchovu wote wa wiki nzima naucompensate leo kwa kinywaji, mishkaki na zaidi bakulutu. Muziki huongeza siku za kuishi, amini hilo, mambo mengine yatakuchanganya tu, si umesikia utafiti unaosema ni bora kukaa kuliko kusimama. Ukisimama mgongo unauma zaidi na uzito utaongezeka zaidi.
Si mnajua sisi wa 'mjini' mlo tukienda kula out unakuwa na hatua nne, a four course meal tunaanza na supu, au salad afu tunaagiza appetizer kisha main chick (course) na tunamaliza na dessert. Na kwa hulka za anko wangu mimi yeye mlo wake una course mbili tu main chick na side chick, hatak mchezo mambo ya dessert sijui saladi hapendi yeye ni nyama kwa nyama maana sio vegetarian. Hongera kwetu wazee wa nyama kwa nyama.
Muziki sasa, leo nakupandishia muziki wa kizazi kipya. Utaniwia radhi maana Ijumaa huwa ni siku ya bakulutu lakini aunty yangu Shunie kaomba kudhamini nyimbo nami bila hiyana wala mizengwe naupandisha wimbo uliochaguliwa kuwa wimbo wetu wa leo. Songi hili limeelekezwa kwake lee empire lakini tuseme ukweli, kizuri si unakula na nduguzo? Msiseme nawakaribisha.
I wanna be your Main chickMuziki: Furahiday ya Main Chick Sio Side Chick

Baba D ukufikie jamaan ulipo nakupenda mimi
pamoja na kwamba umevuruga vuruga hapo juu kama kawaida yako ndio binamu yake akee baba d wangu mmHuyu mauasami sura yake na sauti ni watu wawili tofauti kabisa!!
I wanna be your Main chick
Nakupenda, Nakupenda
I wanna be your Main chick
Nakupenda, Nakupenda
Or let me be the main chick
Nakupenda, Nakupenda
I wanna be your main chick
Nakupenda, nakupenda
Nakupa jina we ndio mume wangu
We ni nyongo
Mkalia ini langu
Nafsi yangu imeridhia
Sitokimbia
Nitazikwa na weweBaba D ukufikie jamaan ulipo nakupenda mimi
Binamu Obe santeeepamoja na kwamba umevuruga vuruga hapo juu kama kawaida yako ndio binamu yake akee baba d wangu mm
Kuna ka ukweli ila ana kasauti jaman napendaga tu nyimbo zakeHuyu mauasami sura yake na sauti ni watu wawili tofauti kabisa!!
Binamu yangu umevuruga vuruga hapooo weee kwenye maelezo yako kuhusu anko wako yaan ndio hivyo tenaAsante aunt yangu mwenyewe, ukipendacho wewe mjomba anapenda
Nimevuruga vuruga Nini tena jama, mbona nimefanya kile ulichoniagiza