eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Kwa nini lisu apigwe amemkosea nani
Wewe tena Tetra sijui unayapendea niniWas meandering the whole day looking for RED COPA EYES, thank you
Basi usiwe unayawekaWewe tena Tetra sijui unayapendea nini
Unanicheka
Labda ndo maana Husna akakikimbia.Ha ha ha ha.Na ndovyakula vyangu navyovitumia sana daah sijui![]()
post using my macbook air using jamiiforums app
haiwez kuwa reasonSasa ulimfanyaje akakimbia![]()
![]()
haiwez kuwa reason
post using my macbook air using jamiiforums app




Baada ya kusikia eti mimi ni nchawi ndio akanikimbia wakat zilikuwa ni story za kufikilika tu.Sasa ulimfanyaje akakimbia![]()
Babu shikamooSasa ulimfanyaje akakimbia![]()
Nifanye nini sasa kama unanichekeshaUnanicheka
Mungu amponye jamanGET WELL SOON TUNDU LISSU
HAKIKA MUNGU AKUPONYE MHESHIMIWA,HAKIKA KILA UKWELI ULIOKUWA UKIUNENA NDIO CHANZO CHA ADHA UNAZOZIPATA( TL)
post using my macbook air using jamiiforums app
AMINAMungu amponye jaman
Nakumiss ujue Baba

Baby isikilizeee





nimejihisi kama wewe ndio umeniimbia baba d nakupenda mimi jaman Mungu azidi kuniwekea baba d wangu