Mungu azidi kumpiganiaTuzidi kumuombe kiongozi wetu ...Lissu![]()

Babe hayo magazeti vipiiii jamanSoon magazetiii....![]()
La lumumba hiloAhsante Shunie, ivi Habari Leo ni la Lumumba"
Walaaniwe sana haoLa lumumba hilo
Ahsante sanaUdaku na michezo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Asante wife kwa magazetiii ....kuna emergency ilitokea nikashindwa kuendeleaa wakuu

nimekuhamu ujue baba d
Karibu tena mkushiAhsante sana
Binamu obe nakuona ujue unaanza hata kama sinywi nitakuepo pembeni ya baba d eti binamu naruhusiwa kuchagua nyimbo sasa hiviAsante sana Shunie kwa magazeti na zaidi kwa kunifanya mdhamini leo hii🙂
Namna nilivyofurahi furahiday hii nitamtafuta anko lee empire tugonge bia ya serikali kwa niaba yako, wewe si hunywi bhana.
Halafu mzeewakungoa tutamkalia kikao kama kamati maana naona anamshawishi shedede alete mambo ya sumbawanga 😀😀
Mwifwa na mkubhi wamepita kwa mbali na asante eden kimario mwanachelesea mwenzangu kwa kuweka wazi kuwa KF haishindani na yeyote, haina sababu ya kufanya hivyo na ndiyo maana Tumosa na shululu wanafurahia kuwa hapa na mapacha wao.
Japo wamejipumzisha kidogo, lakini tunajua kabisa Jimena , Bitoz , werrason , BlessedHope ambaye ninammiss sana watarudi na nguvu mpya, mapumziko muhimu.
Yeah, mapumziko muhimu ndo maana Sakayo wa Transcend alipopumzika tuliendelea kupiga muziki na kufurahia na ndo penzi langu na husna muba limetamalaki, EMMYGUY akiwa Mwanza akila sato wa kubanikwa
Hakuna ubaya , KF imesheheni vipaji na vipawa utashangaa Mkushi wa kusi akismile hata kama tarehe za mshahara hatujui zitakaribia lini, dumejeuri akitupatia maneno ya kwenye Bible.
Madame S mapicha na story tutayapata tu.
Na ujue Nini, Kapuku Forum ni nzuri kwa sababu kila mmoja yupo hapa
Veeeep mke mwee
Sana obeAsante sana Shunie kwa magazeti na zaidi kwa kunifanya mdhamini leo hii🙂

wap tena...
Huyo kwenye avatar n nanVeeeep mke mwee