Muziki: Leo Mapema
U khali gani Kapuku mheshimika, usishangae mimi kukuita mheshimiwa, heshima ni kitu cha bure lakini kina gharama kubwa ukikikosa na ukiamua kumnyima mtu heshima ukitegemea yeye ndo akuheshimu umepoteza kitu cha msingi. Heshima, kuheshimika ni two way traffic, something for something na wenye lugha yao wanasema quid pro quo, huniheshimu sikuheshimu, unanieheshimu nakuheshimu. Kutokana na kuheshimiana huku ndiyo maana nakusalimia mida hii.
Nimewahi kidogo leo, nina sababu, yeah sababu za kuwahi zilizo ndani ya uwezo wangu, na ujue kitu kimoja tu muhimu. Kuwepo kwako hapa wewe
shululu ,
Tumosa ,
lee empire ,
Shunie ,
dumejeuri (afu jamaa wewe una saa kama yangu, ila yangu ni ya gharama maana ni ya msahale na ya kukodoa, two in one, ina kalenda, afu ikiwa ni PM inakuambia, usiku gizani inatoa mwanga kama wale nzi wa kizungu).
Heshima inaendelea kwako
Transcend ,
Sakayo ,
Clkey ,
dingimtoto ,
Bitoz , mpenzi wangu
husna muba ,
mzeewakungoa ,
Mndali ndanyelakakomu asante kwa kudahmini magazeti leo,
Madame S ,
Bailly5 ,
demi ,
Mondray ,
Nyagei mtaasisi tulikutana Jukwaa lile la chini, nilikuona haukuniona sasa tufanye tu hatukuonana.
shedede ,
Jagood ,
Jimena ,
werrason ,
Mussolin5 ,
QUIGLEY ,
koncho77 ,
Mkushi wa kusi , heshima kwenu sana na uwepo wenu hapa unalifanya jukwaa hili kuwa sehemu bora kabisa.
Muziki sasa, oh, nilitaka kusahau, wote niliowataja napenda tu kuwajulisha, kwa ambao mlikuwa hamjui, kabla ya kuburudika na muziki kaeni mkijua nimenunua simu 'mpya' inaitwa Samsung Galaxy, na leo niko Lindi. Sasa burudikeni na muziki