shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Shululu huu Uchokozi na uchochezi kiwango cha nuclear...... Tumosa ukuje!
Sent using Jamii Forums mobile app

Shululu huu Uchokozi na uchochezi kiwango cha nuclear...... Tumosa ukuje!
Sent using Jamii Forums mobile app

Muziki: Leo Mapema
U khali gani Kapuku mheshimika, usishangae mimi kukuita mheshimiwa, heshima ni kitu cha bure lakini kina gharama kubwa ukikikosa na ukiamua kumnyima mtu heshima ukitegemea yeye ndo akuheshimu umepoteza kitu cha msingi. Heshima, kuheshimika ni two way traffic, something for something na wenye lugha yao wanasema quid pro quo, huniheshimu sikuheshimu, unanieheshimu nakuheshimu. Kutokana na kuheshimiana huku ndiyo maana nakusalimia mida hii.
Nimewahi kidogo leo, nina sababu, yeah sababu za kuwahi zilizo ndani ya uwezo wangu, na ujue kitu kimoja tu muhimu. Kuwepo kwako hapa wewe shululu , Tumosa , lee empire , Shunie , dumejeuri (afu jamaa wewe una saa kama yangu, ila yangu ni ya gharama maana ni ya msahale na ya kukodoa, two in one, ina kalenda, afu ikiwa ni PM inakuambia, usiku gizani inatoa mwanga kama wale nzi wa kizungu).
Heshima inaendelea kwako Transcend , Sakayo , Clkey , dingimtoto , Bitoz , mpenzi wangu husna muba , mzeewakungoa , Mndali ndanyelakakomu asante kwa kudahmini magazeti leo, Madame S , Bailly5 , demi , Mondray , Nyagei mtaasisi tulikutana Jukwaa lile la chini, nilikuona haukuniona sasa tufanye tu hatukuonana. shedede , Jagood , Jimena , werrason , Mussolin5 , QUIGLEY , koncho77 , Mkushi wa kusi , heshima kwenu sana na uwepo wenu hapa unalifanya jukwaa hili kuwa sehemu bora kabisa.
Muziki sasa, oh, nilitaka kusahau, wote niliowataja napenda tu kuwajulisha, kwa ambao mlikuwa hamjui, kabla ya kuburudika na muziki kaeni mkijua nimenunua simu 'mpya' inaitwa Samsung Galaxy, na leo niko Lindi. Sasa burudikeni na muziki

Obe upo nondo kichizi.....Manju la mziki kapuku forum...kwanza kabisa, asante kwa kuangalia post yangu, heshima kwako, pili, sina hakika kama umeisikiza hii clip niliyopandisha leo, sababu ni kuwa hii si rap kwa maana ya muziki wa kufoka. Nyimbo hii ni maboresho ya Yekeyeke Orijinal ya mwaka 1987 iliyoandikwa na kuimbwa naye Mory Kante, mzaliwa wa Guinea na baadaye akahamia Mali, keshafanya muziki na Selif Keita.
Umeona bhnaaa, hii ni fusion yenye Afro-Germany, na inaitwa dance remix sababu tu Wajeru waliipenda na kuamua kutumia magitaa ya umeme kutengeneza 'rizim' wanayoitaka bila kuiharibu 'Vitustu (Vitumbua)Vinanukia aah, shemeji ana leo fanya mambo tupige mpunga", Kante hicho chombo anachopiga kinaitwa Kora.
FYI, Yeke yeke, ilishika namba moja barani Uropa kwa karibu mwaka mzima na Mory Kante alichaguliwa kuwa balozi wa heshima wa shirika la FAO. Na Amitha Bachchan, yeah huyu huyu mzee wa Tel ma hebanian, Andha Kanoon, Yeke yeke ilisikika katika muvi yake Agneepath
Leo kanunue edenShululu magazeti ya leo hujapata au mbona sioni vichwa humu
Na ndovyakula vyangu navyovitumia sana daah sijuiShededeeeeee....... Hivyo vitu haviongezi nguvu bali ni vyakula vinavyorutubisha mwili... Husaidia kuongeza uzalishaji wa semen... Na kuongeza libido.
Sent using Jamii Forums mobile app
When the love is real..life moves so fast, pain and sorrows fades away from your path.
Sometimes you feel like you are special than anyone just for love..just because someone cares for you.
You will never think of quiting untill it happens as an accident.
Love is real...try it live at fully..
This song is dedicated to all people who believe in real love and special to my love Sakayo.
SwalamaaaKumekucha swalamaaaaaa
AmeeeeeeiiiiiiniiiiiKila Neno la Mungu limehakikiwa yeye ni ngao yao wamwaminio
Usiongeze neno katika maneno yake asije akakulaumu ukaonekana u mwongo![]()
MITHALI 30:5-6
MUWE NA ASUBUHI ILIYO NJEMA KWENU MBARIKIWE SANA![]()
![]()
Was meandering the whole day looking for RED COPA EYES, thank youKila Neno la Mungu limehakikiwa yeye ni ngao yao wamwaminio
Usiongeze neno katika maneno yake asije akakulaumu ukaonekana u mwongo
MITHALI 30:5-6
MUWE NA ASUBUHI ILIYO NJEMA KWENU MBARIKIWE SANA![]()
![]()