Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Karibu baba watoto wnguNamjua sana shemela wangu
Nipo njiani narudi nyumbani
Karibu baba watoto wnguNamjua sana shemela wangu
Nipo njiani narudi nyumbani
Asante my loveKaribu baba watoto wngu
Arosto si ya nchi hii tunamtegemea baba d tuNa arosto inatunyoosha kweli
Namjua sana shemela wangu
Nipo njiani narudi nyumbani
Jamaaaan.Karibu baba watoto wngu






Vip shemelaJamaaaan.![]()
Shemela jaman nimefurahi tu mimi kapicha basi msisahauVip shemela
Shemela hivi zile mambo za popo bawa jamaan hivi ilikua kweli kipindi kileAisee
Zile ni hadithi tuShemela hivi zile mambo za popo bawa jamaan hivi ilikua kweli kipindi kile
Sawa mjukuu wangu... Hujambo lakiniMAMBO 5 YA KUZINGATIA WAKATI WA KUTUMIA FIMBO.
SEMINA YA MALEZI YA WATOTO!
1. Unamchapa mtoto wapi (Maeneo gani katika mwili).
2. Unamchapa mtoto na nini? (Unatumia kifaa gani kumchapia mtoto)
• Usimpige mtoto kwa mikono (Kibao)
• Usimpige mtoto kwa mateke.
• Usimpige mtoto kwa kichwa.
• Wengine hutumia gongo.
• Wengine hutumia Rungu.
• Wengine hutumia kisu.
• Wengine hutumia mtwangio.
• Wengine hutumia maji ya moto.
• Wengine Kamba kuwafungia watoto kwenye miti kama adhabu.
3. Unamchapa mtoto wakati gani?
• Usimchape mtoto wakati ukiwa na hasira.
• Usimchape mtoto mbele ya wageni au rafiki zake jirani.
• Usimchape mtoto mara kwa mara kila dakika unachapa mtoto atazoea fimbo na haitaweza kufagia tena tabia zake mbaya.
• Usimchape mtoto akiwa usingizini.
• Usimchape mtoto akiwa hajala yaani akiwa na njaa kali.
4. Usimchape mtoto kabla ya kumpa onyo la mdomo.
• Tanguliza kwanza onyo dogo
• Fuatia na onyo la kati
• Onyo kali
5. Usimchape mtoto kwa kumuonea au bila kuwa na uhakika wa kosa lake.
• Chunguza sababu za kumchapa mtoto kamani za hakika kabla ya kumchapa.
• Usimchape mtoto kwa taarifa za kusikia tu ambazo huzazithibitisha.
• Usimchape mtoto kwa kumuonea.
Wakati mwingine anaweza kuwa amesingiziwa na baba au mama wa kambo.
Wakati mwingine anaweza kuwa amesingiziwa na watoto wenzake ile achapwe.
Wakati mwingine anaweza kuwa amesingiziwa na dada wa kazi au marafiki zake kwa sababu zao.
Kujipa moyo inaruhusiwa!vibonge oyeeee nimependa ujumbe tu jikubali tu jaman ulivyo na Mungu alivyokuumba ujue Mungu ana maksudi yake
![]()
Wengi wanakwepa kitu cha yusuuffff!![]()
![]()
Kuna watu hawali maharage kisa tu wanadai ni chakula cha hadhi ya chini
Unajidanganya mwenyewe
Maharage yanafaida kubwa katika mwili wa binadamu
Sote tunajua ukila maharage unapata vifuatavyo
Fiber
Kopa
Folate
Chuma
Magnesium
Manganese
Phosphorus
Potassium
Lakini ukiacha hayo maharage hutibu magonjwa ya moyo, kisukari, na saratani
Kula maharage ndugu yangu
Mara nyingi vitu vya bei ya chini vina faida sana kwenye miili yetu
Binamuuuuuuuuuuuuuuu santeeeeeMuziki: Jumatatu ya Teknolojia
Ninajiaminisha kuwa Kapuku, yes, wewe unayenisoma muda huu, umekuwa na Jumatatu nzuri kabisa na hasa kwa kuwa kuanzia Ijumaa ilikuwa ni mapumziko mazuri ya Eid ambayo kiukweli hayakuendana na mialiko tuliyoizoea awamu zilizopita. Yote kheri tu na maisha yanasonga.
Asante kwa wote mnaolifanya Jukwaa hili kuwa sehemu nzuri ya kufurahia, kujifunza, kufundishana na zaidi kupata maarifa, tunafanya vizuri hadi nahisi tukiendelea hivi majukwaa mengine yatakufa. Ha ahahaha, unacheka kwa sababu unajua haiwezekani, lol, inawezekana sana tu maana kuwepo kwako hapa ni sababu tosha kabisa ya kuyatia 'joto' majukwaa mengine. Asante kwa kuwepo hapa.
Muziki sasa, teknolojia ina mammbo mazuri lakini usisahau kuwa inaweza leta mambo yasiyosahihi cha msingi ni wewe mtumiaji kujitambua na kuifanya teknolojia. Kwanini ninaandika haya, mnajua napenda kushare, well, sio kuwapa nilichonacho bali nawajulisha tu nimenunua Samsung Galaxy new model, naamini suala la emoji halitanisumbua tena. Ungana nami kwenye kufurahia manunuzi ya simu mpya, na kama unajua kujiunga na kifurushi cha chuo please nielekeze
Kujipa moyo ndio mpangoKujipa moyo inaruhusiwa!