Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji524] Bwana Mungu wangu ikiwa nimetenda haya ikiwa mna uovu mikononi mwangu

Ikiwa nimemlipa mabaya yeye aliyekaa kwangu salama (hasha nimemponya yeye aliyekuwa mtesi wangu bila sababu)

ZABURI 7:3-4

MUWE NA ASUBUHI ILIYO NJEMA KWENU MBARIKIWE SANA [emoji7] [emoji120]
Amen,nawe uwe na cku njema mtumishi
 
Muziki Jumapili: Family Day

Hakuna ubishi kuwa Jumapili ni siku ya familia, tunakaa pamoja kuongea na mara zote hii huwa ni siku ambayo wote tunakaa mezani kula na kunywa pamoja. Ni wakati huu ambapo maswali huulizwa, majibu hutolewa na ukweli ni mwingi kuliko uongo, uongo? Siongopi na ninasema kweli kabisa kuwa salamu ni nusu ya kuonana na ndiyo maana ninakusalimia Kapuku muheshimika sana, u khali gani? Wiki ndo inaanza, juma la kwanza la mwezi mbichi kabisa wa Kenda.

Jumapili hatuna maneno mengi, tunaburudika tu na muziki maana leo ni siku ya familia na sisis kama familia ya Makapuku tuburudike pamoja.

Tenkyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
802d26537c841f027299f7c157160a36.jpg
Kwa Africa hii n ngumu kumeza!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji524] Bwana Mungu wangu ikiwa nimetenda haya ikiwa mna uovu mikononi mwangu

Ikiwa nimemlipa mabaya yeye aliyekaa kwangu salama (hasha nimemponya yeye aliyekuwa mtesi wangu bila sababu)

ZABURI 7:3-4

MUWE NA ASUBUHI ILIYO NJEMA KWENU MBARIKIWE SANA [emoji7] [emoji120]
Barikiwa dada

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] amina
 
Back
Top Bottom