Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
Sijambo babu shikamooSawa mjukuu wangu... Hujambo lakini
Sijambo babu shikamooSawa mjukuu wangu... Hujambo lakini
Kumbe aiseee nakumbuka picha ya popo bawa ana jicho mojaZile ni hadithi tu

Marhabaa mjukuu wanguSijambo babu shikamoo
Amen nawe pia mpendwaMuwe na usiku mwema kwenu mlindwe na damu ya Yesu Kristo toka msalabani![]()
![]()
![]()

Binamu naomba hiyo picha ya Samsung galaxy jamaan tutakoma kama kipindi cha saa mpya

Uliiona wapi shemelaKumbe aiseee nakumbuka picha ya popo bawa ana jicho moja![]()
Asante, nawe pia shemelaMuwe na usiku mwema kwenu mlindwe na damu ya Yesu Kristo toka msalabani![]()
![]()
![]()
Muziki: Jumatatu ya Teknolojia
Ninajiaminisha kuwa Kapuku, yes, wewe unayenisoma muda huu, umekuwa na Jumatatu nzuri kabisa na hasa kwa kuwa kuanzia Ijumaa ilikuwa ni mapumziko mazuri ya Eid ambayo kiukweli hayakuendana na mialiko tuliyoizoea awamu zilizopita. Yote kheri tu na maisha yanasonga.
Asante kwa wote mnaolifanya Jukwaa hili kuwa sehemu nzuri ya kufurahia, kujifunza, kufundishana na zaidi kupata maarifa, tunafanya vizuri hadi nahisi tukiendelea hivi majukwaa mengine yatakufa. Ha ahahaha, unacheka kwa sababu unajua haiwezekani, lol, inawezekana sana tu maana kuwepo kwako hapa ni sababu tosha kabisa ya kuyatia 'joto' majukwaa mengine. Asante kwa kuwepo hapa.
Muziki sasa, teknolojia ina mammbo mazuri lakini usisahau kuwa inaweza leta mambo yasiyosahihi cha msingi ni wewe mtumiaji kujitambua na kuifanya teknolojia. Kwanini ninaandika haya, mnajua napenda kushare, well, sio kuwapa nilichonacho bali nawajulisha tu nimenunua Samsung Galaxy new model, naamini suala la emoji halitanisumbua tena. Ungana nami kwenye kufurahia manunuzi ya simu mpya, na kama unajua kujiunga na kifurushi cha chuo please nielekeze

Yaan shemela tulikua wadogo kuna rafiki yetu mmoja tulienda kwao akatuambia baba kanunua kanda ya video ya popo bawa akaiiba tuione njeUliiona wapi shemela

utoto bana
Shemela si unakumbuka kipindi cha saa mpya lakini tutakoma na hiyo galaxy sijui galaxy gani binamuuuu ukuje naomba picha mie halaf uniambie ni galaxy gani
Haaaaahaaaa kweli utoto shemela, ilikuwa mwaka gani huyo shemelaYaan shemela tulikua wadogo kuna rafiki yetu mmoja tulienda kwao akatuambia baba kanunua kanda ya video ya popo bawa akaiiba tuione nje
Kipindi hiko hakunaga DVD basi kututolea sijui inasema popo bawa kaonekaa znz ni ya maelezo yake tu sasa sisi kuonyeshwa cover popobawa anaruka hivi ana jicho moja acha tukimbie shemelautoto bana
Nakumbuka shemela, ila sasa emoji sijui zipo ama hazipoShemela si unakumbuka kipindi cha saa mpya lakini tutakoma na hiyo galaxy sijui galaxy gani binamuuuu ukuje naomba picha mie halaf uniambie ni galaxy gani
Mwaka siri yangu shemela unataka unicheke auHaaaaahaaaa kweli utoto shemela, ilikuwa mwaka gani huyo shemela


me ni muhenga kitu cha 55 ila jua tu kipindi hiko habari za popo bawa zimeenea Tanzania nzima nilikua katoto watu wanalala nje kuogopa popo bawa
Yupo kwenye galaxy emoji lazima ziwepo halaf hii galaxy sijui kanunua mwenyewe au anko wake kamnunuliaNakumbuka shemela, ila sasa emoji sijui zipo ama hazipo
Haaaaahaaaa shemela umestuka kweliMwaka siri yangu shemela unataka unicheke aume ni muhenga kitu cha 55 ila jua tu kipindi hiko habari za popo bawa zimeenea Tanzania nzima nilikua katoto watu wanalala nje kuogopa popo bawa
Itakuwa anko wake, yale mazungumzo ya janaYupo kwenye galaxy emoji lazima ziwepo halaf hii galaxy sijui kanunua mwenyewe au anko wake kamnunulia
Itakuwa anko wake, yale mazungumzo ya jana
Shemela si unakumbuka kipindi cha saa mpya lakini tutakoma na hiyo galaxy sijui galaxy gani binamuuuu ukuje naomba picha mie halaf uniambie ni galaxy gani
Binamuuuuuuuuuuuuuuu santeeeee
Napendaga tu nyimbo zake tekno