Boogman
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 2,527
- 5,758
Asante kushukuru mdau! Ila naamini na wewe ni muhenga mwenzangu japo nimekuzidi kidogo 🙂Kk Obe Mungu akubariki sn kwan umenikumbusha miongo kadhaa nyuma enzi zile niko Mwenge Sec. wkt wenzangu wanakomaa kumskiliza xzibit na ngoma yake paparaz ama 2pac Omar shakur na ngoma yake ya baby don't cry mi nilikua naburudika na mziki mtam wa mjombaangu R.kell stom is over ama l wish if l could turn back hand of time!
Ahsante sn comrade!!